TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO KWA KUDHAMINIWA NA OFISI YA WAZIRI MKUU “PMO”

Tunatangaza nafasi za masomo ya wanafunzi kusoma kwa kudhaminiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu.


Fomu za kujiunga ni BURE kabisa na zinapatikana chuoni au pakua Kwenye website ya Prime Minister Office na ifikishe chuoni kabla ya tarehe 12 NOVEMBER 2023


Zingatia Fomu ni bure kabisa.

OGOPA MATAPELI:

Kwa maelezo zaidi fika chuoni au piga simu number: 0718339433 au tuma email kwa principal@mstvt.org

 

KARIBUNI SANA.

Download form ya kujiunga hapa:

1. FOMU YA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UKUZAJI UJUZI AWAMU YA SITA 2023-24